Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hahahahahahaaaaa
ahn hyo seop bado ni new actor, hii sifa ya new actor/ actress inachukua muda gani ili kufutika?

  1. naangalia father is strange (2017), humu ndani yumo
  2. 30 but 17 drama = project ya mwaka 2018
  3. abyss drama = project ya mwaka 2019
  4. romantic doctor 2 = project ya mwaka 2020
  5. n.k
hongera kwake
Unataka Niambia Hujazifurahia Hizi Tuzo Eti Eeh!?

Amekua New Actor Kwa Sababu Labda Ndo Tuzo Yake Ya Kwanza Kwenye Tuzo Hizi
 
writer na director wanahitajiana
ila good script ndio inayotengeneza uhusika bora wa muigizaji ukiachana na ishu ya kipaji, bidii, nidhamu ya kazi.

kuna baadhi ya waigizaji wana bahati ya kuchagua project nzuri (gong hyo jin, lee jong suk, ji sung na mkewe lee bo young)

Kamsahmnida Chingu.

Kwaiyo Apo Ubora Wa Muigizaji = Script Nzuri+Director +Kipaji
 
mtiririko wa hadithi yake upo taratibu sana, halafu ile project imekalia kishamba zaidi....
mavazi yao, mandhari yake, style yao ya uzungumzaji, vyakula vyao n.k

imekuwa popular kwa sababu imeakisi maisha ya wakorea, wengi wao wameyapitia maisha yale kabla hawajafanikiwa kimaisha na wengine bado wanaendelea kuyapitia (country life)

huko korea kuna watu huenda maisha yao yote hawajahi kufika seoul
Ni Kiporo Nitakirudia Siku Si Nyingi InshaAllah
 
✍✍ acha niandike barua ya kuomba radhi ila:
  1. huenda sijaiona comment yako (baadhi ya nyakati inaniwia vigumu kusoma maandishi ya watu wote)
  2. mara ya mwisho nimeingia JF mchana wa siku ya jumanne (12:45), pengine comment yako umeiandika baada ya muda huo.
Inaonekana ata kwenye maisha halisi we ni mtu wa watu,kama ilivyo humu.
Ni kweli niliiandika mda utakua hujaiona,mi ndo mwenye kosa pia sikukutag.......kumradhi.
 
niliposoma comment yako nimejihisi kama nipo mbingu ya 10, ahsante sana chingu....... sijapokea message nyingi za wishes kwa sababu ya usiri wangu uliotapakaa kwenye fikra lakini hii message yako imeshindilia msumari wa furaha usioumiza ndani ya nafsi yangu.
message yako ina nguvu kuliko wishes za watu 100

ilinichukua muda mrefu sana kuifahamu jinsi yako (ulinifanya nifukue makaburi pasina idhini yako, I am sorry)...
=======
ila ahsante sana kwa ujumbe wako, nimejisikia furaha sana kusoma ujumbe wa mwanadamu ambaye naamini tabia zake zimenyooka kama parallel world za drama yetu, hii siku nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu

kumbe nilikuwa nafanya makosa makubwa sana (sikujua kama nina marafiki wengi tusiojuana kisura lakini tumejengeeana tabia ya kuaminiana, kuheshimiana kupitia sanaa hii ya uandishi)

Thanks tena noona
Kwenye Usiri Apo Tunafanana.

Keki Ya Mchele Ushakata!? Au Nivuke Maji Tukale Ulojo.

Ukawe Mwaka Wenye Kheri Nyingi InshaAllah Na Kila Utakaloliomba Mola Akaweka Wepesi Wake InshaAllah.

Mama Dae Leo Akupikie Vireja.
 
binafsi nilishapoteza concentrations tokea zamani ila ninachokifanya kwa sasa ni kuimalizia tu hiyo drama then huko mbeleni nije niifanyie repeatition.
sijui episode 14 imeendeleaje hapo jana hivyo sijui lolote:

Lee Gon pindi alipokuwa anaangalia video za CCTV camera alifanikiwa kuona video yenye kuonyesha tukio la mwaka 2022 haliyakuwa ndio kwanza tupo mwaka 2020, huenda aliyemfanya aone tukio lile la birthday ya jeong tae eul ni yule dogo anayechezea yo-yo. Tukio lile litamfanya lee gon awe na amani ya nafsi kwa sababu tayari ameshafahamu kitakachojiri kwa girlfriend wake hata kama itatokezea wapo dunia tofauti.

inaonekana yule dogo ameshafahamu mwisho wa hadithi yao kama ilivyokuwa kwenye ile simulizi anayoisoma mara kwa mara inayopatikana kwenye kitabu cha King Arthur.
kile kitabu kimeandika:
shetani atakuwa na uwezo wa kusafiri kutoka dunia moja hadi nyengine, atakuwa ana uwezo wa kucheza na muda (past, future, currently), kivyovyote yule dogo anabeba ufunguo wa muda na inaonekana ndiye chanzo kikuu cha jung tae eul kupata kitambulisho kipya ambacho ndicho kile alichokihifadhi lee gon mdogo (wakati wa mapinduzi).

Pia yule dogo ndiye aliyemuambia Luna ya kwamba yeye ana amini uwepo wa Mungu na kila mtenda dhambi atalipwa kwa alichokifanya (amemkusudia luna ya kwamba na yeye atalipwa kwa mabaya ayatendayo licha ya kwamba luna haamini uwepo wa mungu).

it looked yule dogo kazi yake kubwa ni kumaintain balance of nature (hususani muda), kwa kuwa ile firimbi humuwezesha mmiliki kusafiri na future kivyovyote utajitokeza upande utakaotaka kuiathiri asili kwa sababu ya tamaa (kumbuka kuwa lengo la lee rim si madaraka bali ni kuwepo milele ndio maana drama imetumia neno eternity, atakapoendelea kuwa na afya isiyozeeka kwa miaka nenda rudi ndipo atakapoweza kuitawala dunia kwa uhuru).

Lee Rim na Lee Gon itakuwa wanapambana kwa ajili ya muda, mmoja wapo ameamua kuchagua future na mwengine amechagua past. lee rim amekuwa akifanya mission ya kuwahamisha watu muhimu anaowahitaji kwa kuwatoa dunia moja kwenda nyengine kwa sababu ameshafahamu future yake hivyo basi anahitaji watu muhimu watakaokuwa upande wake.

View attachment 1470115
Naona We Unaielewa Kweli.

Kwangu Kiukweli Napata Nayo Shida Sana.
 
Duh uchambuzi mrefu mpo vizuri,mie nimefata scene za kiss tu,ile ya shingoni aiseee hadi nikatamani kuwa kale ka actress🤣🤣 .

Naona mnaendeleza libeneke wazee!!
Mi nilistaafu hizi korean baada ya kuona zinanitia uchizi hasa ile bandika bandua.
Now nimeichungulia hii Ķing makers~ The change of Destiny (wind,cloud and rain).
Naona mdogo mdogo uchizi unarudi.
 
niliposoma comment yako nimejihisi kama nipo mbingu ya 10, ahsante sana chingu....... sijapokea message nyingi za wishes kwa sababu ya usiri wangu uliotapakaa kwenye fikra lakini hii message yako imeshindilia msumari wa furaha usioumiza ndani ya nafsi yangu.
message yako ina nguvu kuliko wishes za watu 100

ilinichukua muda mrefu sana kuifahamu jinsi yako (ulinifanya nifukue makaburi pasina idhini yako, I am sorry)...
=======
ila ahsante sana kwa ujumbe wako, nimejisikia furaha sana kusoma ujumbe wa mwanadamu ambaye naamini tabia zake zimenyooka kama parallel world za drama yetu, hii siku nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu

kumbe nilikuwa nafanya makosa makubwa sana (sikujua kama nina marafiki wengi tusiojuana kisura lakini tumejengeeana tabia ya kuaminiana, kuheshimiana kupitia sanaa hii ya uandishi)

Thanks tena noona
Ts okay 😃😃kwakweli una marafiki wengi humu,wengine wamemute ila watakuja kiri kwa wakati wao ukiwadia.

Bila kusahau kufarijiana.wengne hz series zinatufariji sanaa na kutusahaulisha sometimes magumu tunayoyapitia kila leo......Sasa uwasilishaji wako juu ya hz drama humu kwakweli unatuhamasisha sanaaaa na wala hatutumii nguvu kutafta ipi nitazame.mi naomba nikushukuru kwa niaba ya wote🙏🙏
 
Screenshot_20200606_130425.jpg

Kuna mtu anaisubiria hii drama kama Mimi jamani.naona siku haziendi🤦
 
GHOST

Wataalamu wa cyber space

Hades na Phantom 0338

Hao jamaa na polisi ni kama Kigogo 2014 na TISS + polisi hapa kwetu

Fuatilia pamoja nami naingia ep 04
 
Woman of dignity ajali nyingine ndani ya ndoa hasa za wadada wa mjini wao wanajiita classic chics.

Eccentric chief moon ina vituko vya hapa na pale. Mwenyekiti wa wanawake hapo kijijini ni mfano bora kabisa wa wanawake watunza siri kwa sekunde tatu tu 🤣 🤣 🤣 . seol ah katoto kamejua kuicheza nafasi yake fresh hasa kipaji cha kujipatia misosi ya bure.

Nikarudi nyuma dream high zote mbili. Nimeipenda part two kuliko part one
 
Long time no see!

Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vyema katika kuliendesha jukwaa hili la burudani hususani upande huu wa Korean drama.

Ni muda sasa nimesitisha kufuatilia 'on going' ila nimeona ni vyema zaidi kuzihifadhi mpaka pale zitakapo malizika ama kukamilika ndipo nizitazame kwa ukamilifu wake.

Lakini wakati nikifanya hivyo nimeona si vibaya nikitazama baadhi ya kazi fupi fupi zilizopita ama za miaka ya nyuma.

Miongoni mwa projects nilizojichagulia kuzirudia kwa sasa ni hizi tatu;

  • The Innocent Man
  • Let's Fight Ghost
  • Master's Sun

Wengi wenu nafikiri mtakuwa mmekwisha kuzitazama kazi hizi.

Baada ya kuzimaliza kazi hizi tatu, nafikiri nitakuwa nimekwisha kujikusanyia kazi mpya ya kuitazama kadri mwenendo wa 'on going' utakavyokuwa ukielekea.

Pamoja sana!
 
View attachment 1460299
Hatimaye nimeimaliza Safari iliyokuwa ndefu sana, Safari ya Episode 200.
Kituo cha Taifa (SK) KBS, iliwaghalimu miezi 24(2000-2002) kuirusha Drama hii.

Daemusin aliyenipa assignment hii, kama siku mnukuu vibaya... alisema, " aliianza 2015 - 2017"

Lakini miye niliianza June 1 ya mwaka 2019 kwahiyo ni kama miezi 11 na siku 26.
Nadhani nadhani yeye afanyae assignment na kuzimaliza kwa wakati humtia moyo mwalimu wake.

Hii Drama kuna baadhi ya washiriki nilikuwa nishawasahau Sura na uhusika wao kwa jinsi Drama ilivyokuwa ndefu.

Nimejifunza mengi sana humo ndani hasa kuhusu U-budha na Sutra zake, na masuala mengine yakawaida kabisa, hasa yaliyowatokea Wababe wetu Gung Ye(Mwanzishi wa Goryeo according to the Drama) na Kyeon Hwon ( Mfalme wa Bakje)
Lakini hii Drama ilikuwa imejawa sana na Watu wenye Vipaji na Ma- Genius; Choi Ung(Minister of Military in Goeyeo, Choi Son woo( Vice Prime minister of Bakje), Choi Jimong( Royal Advisor in Goryeo mzee wa nyota na ndoto), Captain Taepypng ( Military Advisor in Goryeo) na wengine wengi.
Bato ya Waziri mkuu msaidizi wa Bakje na Dogo mwenye akili nyingi( Choi ung), Hawa jamaa walikuwa wanapendana kinoma licha uhasama wa Nchi zao, na walikuwa wanajuana kuwa wote ni wakali .
Lakini Urafiki wa Kyeon Hwon kwa Wang gun n.k
Uovu wa Gung ye ndio unakumbukwa zaidi kuliko Wema wake hapo awali.

Hii kitu lazima nitairudia huko
mbeleni.

inaitwa... Emperor Wang Gun
Aisee! Hongera sana kwa kumaliza "assignment" hiyo ndefu na ya aina yake.
 
Back
Top Bottom