Salaam wakuu,
kama wewe ni mmoja wapo wa wapenzi wa masebene basi ni lazima utakubaliana na mimi kwamba hii kitu ni kali sana. Hizo nyuzi zinavyoguswa humo na kinanda ni balaa sana....