Hili gonjwa lililokurupuka kutoka uchina linasimuliwa kabisa kwenye filamu hii exactly kama kinachotokea sasa hasa huko uitaliano uchina na maeneo mengine yote duniani...hii filamu baada ya kuitazama imenibadilisha mtazamo kuhusu chanzo cha hili janga la COVID-19
Muvie ile inaelezea kuhusiana na mafua ya ndege!! Kama mtakumbuka mlipuko wa mafua ya ndege uliitesa sana dunia kipindi cha miaka ya hapo katikati!! Ni nzuri sana, inaendana na janga hili tulilonalo kwa sasa!!