Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Hii ni kwa wapenzi wa muziki, unasikiliza muziki ila kwenye mind, weka maneno haya

Huu ni wimbo wa TIP TOP CONNECTION - BADO TUNAPANDA REVISED LYRICS

Pasco

INTRO:
Waya, waya, waya, waya, waya weeee........................[Top, tip, tip, tip, tip, top connection],
Ni wa, ni wa, ni wa, ni wa, ni waleeee...........................[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],
Waya, waya, waya, waya, waya weeee........................[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],
Ni wa, ni wa, ni wa, ni wa, ni waleeeee.........................[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],

CHORUS BY TUNDA MAN:
Kama siasa safari, Chadema tumesafa kwa sasa tunapumua,
Kama mziki ni hali, Basi afadhali dunia nzima inatujua,
Kama kweli we unatupenda sema, haaaaa.................oya, oya,
Kama Chadema unaipenda sema, haaaaaa..................oya, oya,

VERSE 1.
KASSIM MGANGA;
"Mnjilizi unasema maneno mangapi mabaya juu yangu kila kona,
Neno langu shilingi si la kubishana na wewe usidhani ntajibu bwana,
Moyo wangu wa subira nilopewa na mola ndo maana kauli sina,
Nimezaliwa kushinda, ndo maana napita kila ukibana,
Nimesafiri, toka Arusha, Nimekuja tafuta riziki bwana,
Napiga dili, nazichanga, nikapambane na ile dhiki jamaa,"

Kama kweli we unatupenda sema, haaa............oya, oya,
Kama Chadema unaipenda sema, haaaa..............oya, oya,

VERSE 2.
KEISHA;
"Najua mnataka nyimbo nzuri, Kwetu zipo yea,
Najua mnataka ujumbe mzuri, Kwetu upo yea,
Sogea upate love nzuri, toka tip top yea,
Sogea upate swagger nzuri, toka tip top.............,"
MADEE;
"Ukiwa mzembe hauwezi kupata shavu,
Now tumesahau kula tena chips kavu,
Thats why tumeganda palepale, hey Marco chali chapa ilale,
Mwache aongee anadhani si mapimbi,
Now tumetulia, tumeshapata shilingi,
Oya Tale mwambie anajiita kingi, Inabidi aelewe sisi ndio jiwe la msingi,
Manzese stand up, Nasema Madee,
And dont give up, Chezeni namna hii,
Mpaka kukuche leo hakuna kulala,
Swagger ziko on kama Zilla wa sala sala,"

Waya, waya, waya, waya, waya weeee..............................[Top, tip, tip, tip, tip, tip connection],
Ni wa, ni wa, ni wa, ni wa, ni waleeeee...............................[Top, tip, tip, tip, tip, tip connection],

Kama kweli we unatupenda sema, haaaa..................oya, oya,
Kama Chadema unaipenda sema, haaaa..................oya, oya,

VERSE 3.
DESO;
"Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima,
Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima,

Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima,"

Kama kweli we unatupenda sema, haaaaa................oya, oya,
Kama Chadema unaipenda sema, haaaa...............oya, oya,

Ha ha ha Mkuu naona umetoka kivingine kabisa bila shaka utaziba pengo la Komba safari hii by the way tumekuelewa tulioelewa
 
Pasco ameamua kuja kivingine. Bora ukariri chorus za akina Tundaman maana huyo fisadi wako Lowasa ni aibu tupu
 
fisad aibu gani kati li ccm ndo limebaki na mafisadi walioshindkana kuanzia top ccm officerz
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Hii ni kwa wapenzi wa muziki, unasikiliza muziki ila kwenye mind, weka maneno haya

Huu ni wimbo wa TIP TOP CONNECTION - BADO TUNAPANDA REVISED LYRICS

Pasco

The motives behind huu wimbo ni Mwamba wa Kaskazini
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
P
 
Back
Top Bottom