INAUZWA Kwa wapenzi wa saa kali

Haitumii battery ni automatic movement.
 
Bei yake hiyo wabongo hatuwezi tunakimbilia kwa wachina mkuu.
 
Mie napenda sana saa, Aviator is the best .......
 
Kweli mkuu, saa yoyote Kali inakufanya uwe na muonekano wa kipekee.
 
Smart watches zinakuja wiki ijayo kaeni mkao wa Kula.
 

Original NAVIFORCE waterproof watch, full calendar, 24hrs, inaonyesha siku, mishale yote inatembea, haipauki rangi, mikanda stainless steel, inakuja na box lake .70000/=. Wasiliana nami WhatsApp 0718628657
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…