Kwa wapenzi wa Single Movies za kizungu tu. Taja Movies mbili kali kuwahi kuona katika maisha yako

The best
 

Attachments

  • 3095458363445624622.mp4
    5.3 MB
Aisee hii niliiona na kuipenda. Tukio la kweli liligizwa.
 
Angalia avatar yangu. Basi movie yake inaitwa ''Papillon'' Toleo la 1973 ndiyo nililipenda. Papillon ni kifaransa au Kipepeo kwa kiswahili. Story ya kweli jinsi Ufaransa ilivyokuwa inachukuwa wahalifu na kuwapeleka kisiwa kinachopachikwa jina la Devil's Island ili kwenda kutumikia adhabu. Watu walikuwa wanakufa kama inzi.
 
Kiukweli japo za kithailand ila
1. Tom Yum Goong: The revenge of the warrior
2. Ong bak
 
Naona Kila mtu na philosophy yake katika kuchagua movie , [emoji897][emoji897]
Movie nazo zielewa ni za Hawa mastaa
Jet Li
Jack Chen
Don yen baadhi
Zombie
Vampire movie
Animation- coco, sheep and wolves puss in boot
Kwa pamoja movie zote zinazo vutia
 
Miracle in Cell no.7 (Turkey)
Hachi: A Dog Tales
A Boy in the Stripped Pjama
Schindler List
Furaha Iko Wapi (20%)
Misukosuko
Extraction 1&2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…