James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Inahusu nini ile muvi?The Great Gatsby, mpaka kesho.
Umembania sana mshikaji uliemuweka profile picMiracle in Cell no.7 (Turkey)
Hachi: A Dog Tales
A Boy in the Stripped Pjama
Schindler List
Furaha Iko Wapi (20%)
Misukosuko
Extraction 1&2
hii movie nimeipata jina leo nliangalia muda nliipenda sanaQuite Place, m
hii ya mwisho ni shida kabisa sijawahi ichoka kabisa.Mimi nawapa zangu tatu za moto.[emoji95][emoji95][emoji95]
44 Minutes
No escape
Behind enemy lines.
Zipo mbili hizo, ni ipi hujawah kuichoka?hii ya mwisho ni shida kabisa sijawahi ichoka kabisa.
hio ya behind the enemy lineZipo mbili hizo, ni ipi hujawah kuichoka?
Extraction 1&_2 hizi movie ni kisanga😀Hacksaw ridge
Extraction 1 & 2
Sisu Ni nzur ila Zina uongo mwingi balaa1,sisu 2, extraction 1 &2
Mkuu afadhali umenisanua mapema sipendagi kutumia bundle kizembe maana kuna mhuni ameniambia ni nzuri kumbe uongo mwingi humoSisu Ni nzur ila Zina uongo mwingi balaa
Dah umetishaMisukosuko part 1
Nsyuka part 1&2
Hata mimi naikubali sana hii filamu. Moja ya filamu chache ambazo ninazo kwa quality ya 4K. Natafuta 8K quality yake au 3D.The Great Gatsby, mpaka kesho.