Kwa Wapenzi wa Taarabu Tu

Kwa Wapenzi wa Taarabu Tu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Kati ya wimbo "Kapu" wa Juma Bhalo na "Bunduki bila Risasi" wa Shakila ni wimbo gani ulishida kwa mipasho?

Kapu (huu uliimbwa na Juma Bhalo, siyo Mohammed Mrisho kama ilivyoonyeswa kwenye video hii)



Bunduki bila risasi wa Shakila
 
Leila Rashidi-Sina mda huo

DJ DJ DJ walete wanaosema taarabu haifai kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom