Kwa wapenzi wa tamthiliya ya Shades of Sin!

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Pretta is pretty crazy, mzuri sana kwa sura lakini IQ yake ni ndogo sana. Huyu na Appollo wote akili zao zimefanana. Jana kamfanyiam kitu kiaya sana Philip, something rarely forgivable!

Mimi namfagilia sana Germana, hata Tony na Barbra; japo criminals lakini IQ zao ziko juu, huwezi kuwalinganishana na akina Appollo na Pretta. Combination ya Pretta na Appollo itakuja kuibua kitu kibaya sana kwenye mapenzi huko mbele.

I also like Kaki, Mumschka na watoto wake crazy, Moa, Kika na wengineo. Pretta na Appollo are just confused comedians with very low IQs (of course nawasemea katika mchezo tu na sisemei katika hali halisi)
 
Na wewe IQ yako ina mgogoro ku bank on translated soap opera life :angry:
 
Wewe ru serious! How translated? Or translated in what sense! Wewe lazima utakuwa ni mtani wangu!
 
Pretta is pretty crazy, mzuri sana kwa sura lakini IQ yake ni ndogo sana. Huyu na Appollo wote akili zao zimefanana. Jana kamfanyiam kitu kiaya sana Philip, something rarely forgivable!

Mimi namfagilia sana Germana, hata Tony na Barbra; japo criminals lakini IQ zao ziko juu, huwezi kuwalinganishana na akina Appollo na Pretta. Combination ya Pretta na Appollo itakuja kuibua kitu kibaya sana kwenye mapenzi huko mbele.

I also like Kaki, Mumschka na watoto wake crazy, Moa, Kika na wengineo. Pretta na Appollo are just confused comedians with very low IQs (of course nawasemea katika mchezo tu na sisemei katika hali halisi)
Hii Tanthiliya niliwahi kuiangalia na sasa sikumbuki kila kitu. Nilishasahau hata kama niliwahi kuiangalia
Tamthiliya zingine nilizowahi kuanglia kabla ya hiyo kama vile Second Chance na Days of Our Liives sijawahi hata mara moja kuzisahahu
 
Back
Top Bottom