Kwa wapenzi wa tarab asilia

Kwa wapenzi wa tarab asilia

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
Na utafuta wimbo unoitwa ( HUNA MUAMANA MTU WA TAMAA)sina uhakika wa jina la muibaji inawezekana alikuwa Bakari bin Abeid kutoka ZANZIBAR
 
Wimbo huu umeimbwa na Ust. Bakar Bin Abeid wa zanzibar. Kuna wanamuziki wengine waliurejea ktk mordern kama Mukrim, lakini mm naona best ni ule Orijino kwa kwa kuwa muzeka wa vinanda umetulia.Wapi utaupata? lakini vizuri upate katika tape au cd, unaweza kwenda ALAKEIFAK Y2K, DARAJANI nimeona wanazo tape za Bakar Abeid na nyimbo nyingi za zamani au hata STZ kama una mtu mnafahamiana anaweza kukupatia.
 
Back
Top Bottom