Kwa wapenzi wa Volkswagen: Wajerumani wamezindua VW Polo GTI ya umeme!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Volkswagen kutoka Germany wamezindua VW ID. Polo GTI, ikiwa ni GTI ya kwanza ya umeme kutoka VW.

Inakuja na motor moja, iko mbele, inakupa 220 hp, 0-100 km/h ndani ya 6.8 sec, na top speed ya 175 km/h.

Kwa comparison, itakua faster kuliko electric Polo inayokuja na 200 hp, ila itakua slow ukifananisha na Polo GTI ya engine ambayo inakupa 250 km/h top speed.

Battery inayokuja ni 52 kWh ambayo kwa full charge inakufikisha 420 km. Na fast charge DC kutoka 10-80% ndani ya dakika 24.

Kwa bei itakua kati ya $40,000 hivi brand new.
 
Kwa mafuta y sasa inafaa sana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wazungu watasumbuka Sana na haya magari Yao ya umeme.
Bei ya hii gari unapata BYD mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…