Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia kwenye wimbo unaopigwa na CCM kwa ajili ya CCM?
Ni kweli kila atajayekuja kusema Magufuli alikuwa mbaya tutaungana naye kushangilia? Nchi mambo yake yanaendelea mjue?
CCM ina watu makini sana katika kutunga nyimbo za kuchezesha wapinzani.