Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia kwenye wimbo unaopigwa na CCM kwa ajili ya CCM?
Ni kweli kila atajayekuja kusema Magufuli alikuwa mbaya tutaungana naye kushangilia? Nchi mambo yake yanaendelea mjue?
CCM ina watu makini sana katika kutunga nyimbo za kuchezesha wapinzani.
Kwa kutotoka madarakani kurakunufaisha nini wewe kajamba nani?Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia kwenye wimbo unaopigwa na CCM kwa ajili ya CCM?
Ni kweli kila atajayekuja kusema Magufuli alikuwa mbaya tutaungana naye kushangilia? Nchi mambo yake yanaendelea mjue?
CCM ina watu makini sana katika kutunga nyimbo za kuchezesha wapinzani.
Swali zuri sana lkn kwa mwenye akili kamiliNakubaliana na wewe ila kwa sababu tofauti. Watashindaje wakati CCM wanashirkiana na Jamana Prinetrs kutengeneza makaratasi ya kura ya ziada ya kujipigia wakiwa vyumbani mwao na kuyapeleka vituo vya kupigia kura chini ya escort ya polisi? Katika mazingira hayo wataishinda vipi CCM?
Mwenyekiti wenu mwenyewe alikuwa kichaa nyinyi breed ya kichaa mtashindwa vipi kuwa vichaa piaTayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini