Kwa wapinzani wa Tulia Ackson ni dhahiri hakuna chakushangilia?

Kwa wapinzani wa Tulia Ackson ni dhahiri hakuna chakushangilia?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Maspika waliogombea na TULIA Ackson wanatoka bara la Afrika. Nchi wanazotoka na hata mshawasha wa wapiga kura umekaa kwa nchi za ulimwengu wa kwanza zaidi.

Lakini pia bunge hili halina impact yoyote kiuchumi kwani mchango wake siyo mkubwa katika Taifa moja moja.
 
Yaani hicho cheo ni sawa na cheo Cha dada mkuu wa shule. Wangalau kwa Tulia kina maana Moja tu, kuwa ndio cheo pekee anaweza kukipata bila kuiba kura.
Kwa sasa Tz, huko nje inaonekana kama hamnazo jambo dogo lisilo hata na faida ya moja kwa moja kwa nchi itakuzwa, mfano kipindi kile Rose migiro, lipi la maana tulipata? Na wengine wengine, wewe kama kupokea tu ndege nayo imekuwa ni bonge la MTOKO!! wakati huko kwingine wala sio habari?!! Yaani leo wote waliokuwa wanahojiwa utawasikia asante MAMA utadhani ni uteuzi wake!! SIASA ZA KIAFRIKA BILA UNAFIKI HAZIENDI"
Na sio ajabu lazima tu utasikia kuna mapokezi yake, siku akirudi!!!
 
Ni ujinga tu wa kiafrika au ni umaskini uliokithiri.
 
Ni ujinga tu wa kiafrika au ni umaskini uliokithiri.
Ndugu yangu, kwa Tz kushabikia vitu ambavyo, mwisho wa siku, visivyo leta faida halisi ya kiuchumi kwa taifa( something which doesn't bring food on the country's table), ndo mambo ya kawaida na unakuta eti vinapewa vipaumbele, kwa ushabiki mwanana kama ule wa SimbaVs Yanga........ aiseee safari bado ni ndefu....
 
Maspika waliogombea na TULIA Ackson wanatoka bara la Afrika. Nchi wanazotoka na hata mshawasha wa wapiga kura umekaa kwa nchi za ulimwengu wa kwanza zaidi.

Lakini pia bunge hili halina impact yoyote kiuchumi kwani mchango wake siyo mkubwa katika Taifa moja moja.
Yaani WaTanzania badala ya kutizama mambo muhimu kwa wananchi kuwatoa kwenye umaskini uliotukuka na Serikali ya wizi wa kura hadi mali za umma! Muko kushangilia upuuzi!
Kwanini hatujifunzi kutoka kwa wenzetu.
Waone Congress ya Amerika walivyo mngoa Spika. Na kwenye kuchagua mwingine nayo ikawa figisu hadi kimeeleweka!
Tutaendelea na kushobokea hadi mwisho wa nyakati.
Puuzi tupu ! Hii nafasi haina faida yeyote kwa Taifa hili.
Ni haya haya kumshabikia muhuni mshezi na kilaza Bashite!!
 
Umejipa kazi ngumu sana,na hatima yako mi ugonjwa wa moyo.
Kwakweli wana kazi ngumu viumbe hawa. Halafu mbona kabla ya kushinda hawakusema chochote kuwa hili bunge halina maana? Nashangaa baada ya mwanadada kuonyesha uwezo wa kujiamini na utimilifu kichwani wameanza kutema maneno yao ya kwenye kangani.......wivu tu.
 
Kwa kweli sina ushabiki wa kisiasa...
Lakini hawa jamaa walivurugwa mno na Jiwe
Yaani hawajielewi kabisa, bado wana jinamizi lake kichwani hawajui hata waanzie wapi...
Wamekuwa Useless worthless kabisa....
Imebaki kuwa The devil you know....
 
Back
Top Bottom