Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
La kupotezeana muda.Hivi ni bunge lanini..?
Nafikiri hiki cheo wala hakina tija yoyote Kwa nchi husika Bali ni vyeo vya kudanganyana, kuvishwa vilemba vya ukoka, na zaidi faida binafsi kwa aliyechaguliwa... nothing much for the country...Hivi ni bunge lanini..?
Umejipa kazi ngumu sana,na hatima yako mi ugonjwa wa moyo.Yaani hicho cheo ni sawa na cheo Cha dada mkuu wa shule. Wangalau kwa Tulia kina maana Moja tu, kuwa ndio cheo pekee anaweza kukipata bila kuiba kura.
Vumilia tu maana hapa Niko na Raha ya hatari.Umejipa kazi ngumu sana,na hatima yako mi ugonjwa wa moyo.
Kwa sasa Tz, huko nje inaonekana kama hamnazo jambo dogo lisilo hata na faida ya moja kwa moja kwa nchi itakuzwa, mfano kipindi kile Rose migiro, lipi la maana tulipata? Na wengine wengine, wewe kama kupokea tu ndege nayo imekuwa ni bonge la MTOKO!! wakati huko kwingine wala sio habari?!! Yaani leo wote waliokuwa wanahojiwa utawasikia asante MAMA utadhani ni uteuzi wake!! SIASA ZA KIAFRIKA BILA UNAFIKI HAZIENDI"Yaani hicho cheo ni sawa na cheo Cha dada mkuu wa shule. Wangalau kwa Tulia kina maana Moja tu, kuwa ndio cheo pekee anaweza kukipata bila kuiba kura.
Ni ujinga tu wa kiafrika au ni umaskini uliokithiri.Kwa sasa Tz, huko nje inaonekana kama hamnazo jambo dogo lisilo hata na faida ya moja kwa moja kwa nchi itakuzwa, mfano kipindi kile Rose migiro, lipi la maana tulipata? Na wengine wengine, wewe kama kupokea tu ndege nayo imekuwa ni bonge la MTOKO!! wakati huko kwingine wala sio habari?!! Yaani leo wote waliokuwa wanahojiwa utawasikia asante MAMA utadhani ni uteuzi wake!! SIASA ZA KIAFRIKA BILA UNAFIKI HAZIENDI"
Na sio ajabu lazima tu utasikia kuna mapokezi yake, siku akirudi!!!
Ndugu yangu, kwa Tz kushabikia vitu ambavyo, mwisho wa siku, visivyo leta faida halisi ya kiuchumi kwa taifa( something which doesn't bring food on the country's table), ndo mambo ya kawaida na unakuta eti vinapewa vipaumbele, kwa ushabiki mwanana kama ule wa SimbaVs Yanga........ aiseee safari bado ni ndefu....Ni ujinga tu wa kiafrika au ni umaskini uliokithiri.
Yaani WaTanzania badala ya kutizama mambo muhimu kwa wananchi kuwatoa kwenye umaskini uliotukuka na Serikali ya wizi wa kura hadi mali za umma! Muko kushangilia upuuzi!Maspika waliogombea na TULIA Ackson wanatoka bara la Afrika. Nchi wanazotoka na hata mshawasha wa wapiga kura umekaa kwa nchi za ulimwengu wa kwanza zaidi.
Lakini pia bunge hili halina impact yoyote kiuchumi kwani mchango wake siyo mkubwa katika Taifa moja moja.
Kwakweli wana kazi ngumu viumbe hawa. Halafu mbona kabla ya kushinda hawakusema chochote kuwa hili bunge halina maana? Nashangaa baada ya mwanadada kuonyesha uwezo wa kujiamini na utimilifu kichwani wameanza kutema maneno yao ya kwenye kangani.......wivu tu.Umejipa kazi ngumu sana,na hatima yako mi ugonjwa wa moyo.