KWA WASHABIKI WA JIWE.

KWA WASHABIKI WA JIWE.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Nimeleta huku ili tusitoe majibu kisiasa siasa.
CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha - JamiiForums

Swali ni kwamba, kama jiwe ana focus kwenye maendeleo ya taifa pekee, hawa wakosoaji na wagombea wa nje anawatakisha nn???.
Wana kosa gani nchini???

Think twice ma nigga

:Kama upo kwenye kanisa na lina watu ambao wanakubaliana na misingi ambayo wew unaona haiko sawa na Mungu atavyo,
Suluhisho ni Kuanzisha kanisa lako, na kuweka misingi upya.

Jiwe anamaanisha nn????? Kuwabana wapinzani, au ni ulafi tu wa madaraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Ni nchi yenye fursa nyingi inahitaji ubunifu na utayari.tufanyeni kazi tujikwamue kiuchumi tuache kusikiliza ngonjera zisizo na mwisho.tushawaruhusu Kama hamridhiki na uongozi wa Magufuli Basi andamaneni tuone Kama mna ubavu..
Ubaya ubaya Sasa hivi tunapanda na nymbz juu kwa juu
 
Ni kweli, usemacho.
Fursa zipo unaweza kupata kupitia misingi ya mzazi wako au misingi ya nchi
Na jiurize jamii yetu yategemea nn hasa, as poverty country.

Lakin...
Ata watumishi wa Dini huombea sana taifa hili na hutaka viongoz wa kuleta maendeleo.

Sembuse mm??

Kujikwamua mm pekee haitoshi.

Nataka na wew uache kukimbia madeni ya Tara na m-pawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom