Kwa washabiki wa Kiefer Sutherland (Jackie Boure)

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,896
Reaction score
5,305
Nimeona wengi munamkubali sana jamaa ktk series ya 24hrs ambayo nadhani inatoka tena mwakani, lkn wakati mukiisubiri 24 tafuteni kitu hiki kingine cha jamaa nayo ni series inaitwa confession na jack ndie confessor mwenyewe, jamaa ni mkali wa action.Itafuteni mujionee wandugu.
 
24 imeisha na Haitoki tena! We shabiki gani ambaye hujui kuandika jina la unaemshabikia? Anaitwa Jack Bauer kama jina la kisanii ndani ya 24.
 
Yaani akili zangu hazitaki kukubali kama 24 imekwisha natamani kama ataindeleza hata kwa kuungaunga ilmradi tu tupate ladha ya huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…