Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 284
Wadau Nimeiona katika mtandao wa wavuti. kilichonigusa kabisa ni maamuzi ya marehemu kuacha maisha ya ughaibuni na kurejea kijijini kwao kuwaendeleza waanakijiji wenzake. sijaafhamu ni wanamichezo wangapi hapa bongo waliopata bahati(ya kuneemeka) na kuamua kuwatumikia wananchi/ndugu zao waliowaacha.
RIP BOL😛ray:
Manute Bol - Msudani aliyecheza NBA afariki dunia - wavuti
RIP BOL😛ray:
Manute Bol - Msudani aliyecheza NBA afariki dunia - wavuti