Kwa wasichana tu,natafuta mchumba

Kwa wasichana tu,natafuta mchumba

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Nipo sirious kwa jambo hilo.
aliyetayari ani-pm bt awe mwembamba wastani,mwaminifu,mkweli,mkristo au aliyetayari kuwa mkristo,awe anavutia,color-chocolate to white,mpenda na mcha Mungu,alie na kazi au anaesoma elimu kuanzia chuo(cheti,diploma au degree) umri 24-27 na sifa nyingine inayowakilisha tabia njema...
 
usife moyo utapta tu mbona wengi...ila tarajia kuulizwa swali hili ,je tuko wangapi?
 
ntakuwa tayari kwa swali hilo,ila naye awe tayari kupima
 
kila la kheri ila pia muombe mungu katika hilo.
 
Back
Top Bottom