Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Siku hizi watu wanajali ndoa kuliko upendo. Watu wanfunga ndoa lakini baada ya miezi miwili nyumba haina amani.
Ngono ndio imetawala kwenye vichwa vya watu. Wanawake kisingizio chao kikubwa ni kuwa mwanaume hamridhishi kwa hata kama huyo mwanaume atampigania vipi ataishia kula makombo.
ni muimu sana kuomba mana huwezi kumpata kwa kutumia hisia na akili zako mr right guyHaya mambo bwana ni magumu mno cha kufanya ni kuomba mungu tu maana kua single haiwezekan upweke nao tabu,mwili nao unahitaji watu hawapendeki yan hata cjui watu tuiije dah!
umeonaeeeeeeee alafu usiyempenda kabisa ndio anakupenda na anamzuka na ww mbaya mnoooooo.............cjui kwaninimapenzi ni magumu mno
kama huna moyo wa chuma bora kukaa nayo pembeni
unayemfeel sana, wala yeye anakuona kawaida mno. Sijajua kwa nini
Ndo maana Lady Jay Dee, alisema KAAATU, USIUSEMEE MOYO WA MWENZIO.
sio kupigana na mwanaume mwenzio kisa msichana hapana ni kumpigania mwenzio katika raha na shida kusudi ni not to loose her in anycase
acha mpz mana sasa nimeamini kwanini hua mtu anajiuaga zamani nilikua naona ni upumbavu wa hali ya juu kumbe kuna sasa ikifika akili inastack hapo ndipo shetani wa kujiua anakuingia na kukuendesha kuelekea ktk kitanzi...................god fobidooooooooooooKiukweli hiki kipengere cha mapnz ni pasua kichwa tu humu dunian!
duh, yaani wenzi wenu mnawaita mitambo ya maumivu... haya bana
we noma naona uko used na AK47Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!
Maisha haya yashakua mafupi hakuna haja ya kuuana kwa strec especial kujihucsha na wanaume ndevu ambao bado wana akili za kivulana ndio wanakuaga na majibu ya dharau km hayo,cheki waiting list km kuna mwenye akili ya kimwanaume songesha maisha mapnz hayalazimshwi atii!
Dada ww acha tu!cjui kwann wanaigiza kupenda ile hali moyon hamna kitu!ndio maana mapnz ya kweli yamebaki msamiati mgumu!
we noma naona uko used na AK47
Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!
yote yanawezekanaLakini tukija kwa upande wa pili.......kama wewe ndie ulieanza kuyakosea thamani mahusiano yenu, basi sio mbaya kama kampata m-bora ambaye anaona thamani yake ni kubwa kuliko wewe!! So, kukwambia hivyo....anaona ni bora akampiganie huyo mwingine kuliko wewe usiejua kuthaminisha!!!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day girlHeheehe! Kumchunga mkubwa mwenzio kazi bora uchunge mbuzi 46! Hakuna haja ya kushikana wala kutukanana! Hata nimkute na mtu ntamuuliza tu vipi? Na huyo bibie hata sisemi nae, kama hajui kuchuna sikawii kumfundisha na kumuelewesha wapi kuna ngozi lainiii!
Cha kufia? Kwani umemzaa wewe, eboo! Hebu mie, wknd imebakia kiduchu,lol
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli