Kwa wasioitakia mema Simba SC na ligi yetu

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema.

Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc inapo litendea haki ligi letu na ukanda huu wa A. Mashariki.

Kasumba hii ya miaka yote ya kutothamini jitiada za Simba Sc katika michuano ya CAF. Kwa miaka mingi sana ilikuwa ni vigumu hata kuingia tu group stages achilia mbali Nusu fainali.

Simba imekuwa timu pekee inayofanya vizuri sio tu kwa nchi yetu,bali hadi ukanda huu yaani Uganda, Kenya, BurunRwa Rwanda, Zambia, Kongo na Tanzania yenyewe.

Simba SC ikitolewa inaitwa timu mbovu na kukisema kikosi chake kila siku utadhani wana nia njema na Simba.

Mbaya zaidi tena bila ya AIBU Simba Sc ikishinda na kupita stages zote wanasema KORONA ndio sababu ya timu hizo kufungwa na Simba, eti wameathiriwa sana na virus hivyo. Kwani Tanzania hakuna Korona? Najua watasema ligi zao zilisimama au kusuasua.

Kichaka hichi hakitoshi kujificha kwa sababu hata Simba baadhi ya Game zake zipo postponed kwa sababu za kiafia, Mfano dhidi ya Kagera Sugar.

Pia Taifa Stars alipigwa na wachezaji hao hao wenye ligi la kusua sua au kusimama.
Narudia tena Simba SC ni timu sio ya kukebehi

Kwa sababu katika mazingira hayo hayo timu zingine katika ukanda huu wanapata nafasi ila hawafikii wanakofika Simba.

Niwaombe kufanya kwenu vibaya isiwe sababu ya kuiangushia Simba gari bovu. Tujifunze kuheshimu kwa walionavyo wakati sisi hatuna.

Legitimacy ya kuichambua Simba kwa mabaya mnaipata wapi?

Kama Simba imekuwa hivyo hivi huko Ankana Red Devils, Mot Mapembe, GorMahia, Yanga Sc, As Vita, watasemaje?
Simba Sc ni timu kubwa na inasomeka hivyo kwa Afrika.

Pamoja na mapungufu yake yote ila mnaikosea sana kutotambua mchango na jitihada zake.

By frustration
 
Wao waliwekamo pua , wakamwagiwa ndani na nje na rivers united
 
Kajifunze kuandika kwanza.
 
Back
Top Bottom