Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Binafsi sipendagi wali wa kuchambuka sana na mlevi,
nauona kama haujaiva vile,
Pia naona kama mchele wa VIP au kitumbo [emoji108][emoji108]
Hata upikeje haukai sawa,
Napenda wali wa kuinama ,