Kwa wasiopenda kuchaguliwa mipango na vyuo na tcu

Kwa wasiopenda kuchaguliwa mipango na vyuo na tcu

kontronoma

Senior Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
100
Reaction score
116
leo mida kama ya saa11 JION nmejaribu kuingia katika mtandao wa tcu nimeshaa kuona nmechagulia vyuo vipya na mipango mipya kabisa..nlifikiri tatizo ni langu peke yangu lakini nlipojaribu kuuliza wenzangu wengi nao tatizo ni moja hayo tu.
 
admin...! me nimeziremove zote walizonipangia wao! Nimezirudisha zile zile zangu
 
change na password kabisa! celewi ni tcu au hackers n y wafanye ivo!
 
Hahah...yani ndo nimefungua hapa karibu nizimie...hivi nimeingia huku jf ili niombe msaada...sasa hawa ni tcu au kina nani wanafanya hivi??? Na kama tcu kwanini wanipange bachelor of arts in french ikiwa sijui kitu chochote kuhusu french??? Bachelor of arts in english na hge wapi na wapi jamani???
 
ciwaelew coz chaguo langu la kwanza ni corse mbili kutoka ardh university hizo wameziaacha kama zilivyo, ila baabaa hayo machaguo mengine wameniwekea macorse ya ajaaabu duuh kwel mwaka huu we2 majangaaa yameaanza mapemaaaaa
 
yaan ciwaelew coz chaguo langu la kwanza ni corse mbili kutoka ardh university hizo wameziaacha kama zilivyo, ila baabaa hayo machaguo mengine wameniwekea macorse ya ajaaabu duuh kwel mwaka huu we2 majangaaa yameaanza mapemaaaaa
 
tcu nawapa saluti au hao hackers waliofanya iyo biashara!
mm nmechaguliwa theology ya kwanza makumira!
daah noma

duuh! kumbe we umependa, bac mier! ngoja cc tuzibadilishee turudishe zile zile mpaka kieleweke
 
duuh! kumbe we
umependa, bac mier! ngoja cc tuzibadilishee turudishe zile zile mpaka
kieleweke

nmeipenda?? hapana, mm ckuchagua theology co kwmba ckuiona but ckuitaka! so obvious cwezi kuipenda!
anyway.... ww malizia kubadilisha! mm tayari nmechange na kurudisha nlichotaka!
 
hahaaah pamoja sana kma umebadilishaaa macorse yao ya ajabuuu
 
Daagh bado mkono mzito hapa...sijui nibadilishe ama nini...ila sasa mi ntaanzia wapi kusoma french aseee
 
Daagh bado mkono mzito hapa...sijui nibadilishe ama nini...ila sasa mi ntaanzia wapi kusoma french aseee

kma na kazi wanakutafutia wao ukimalza chuo fresh! ila kma hawakutafutiii uamuzi wa kwakoo!!!
 
yaan ciwaelew coz chaguo langu la kwanza ni corse mbili kutoka ardh university hizo wameziaacha kama zilivyo, ila baabaa hayo machaguo mengine wameniwekea macorse ya ajaaabu duuh kwel mwaka huu we2 majangaaa yameaanza mapemaaaaa
Wizara ya elimu iko katika kipindi kigumu cha mapito, hivi huyo Prof Mchome wa TCU si ndiye alikuwa mwenyekiti ya Tune ya Pinda iliyopendekeza matokeo yafutwe? Au alikuwa busy na Tume ameshindwa kusimamia kwame. Ama kweli mwaka huu elimu chini ya uongozi wa Kawambwa na Mulugo inapita kwenye majaribu makubwa ni balaa kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom