kontronoma
Senior Member
- Jan 20, 2012
- 100
- 116
admin...! me nimeziremove zote walizonipangia wao! Nimezirudisha zile zile zangu
tcu nawapa saluti au hao hackers waliofanya iyo biashara!
mm nmechaguliwa theology ya kwanza makumira!
daah noma
duuh! kumbe we
umependa, bac mier! ngoja cc tuzibadilishee turudishe zile zile mpaka
kieleweke
Daagh bado mkono mzito hapa...sijui nibadilishe ama nini...ila sasa mi ntaanzia wapi kusoma french aseee
tcu should email us on the reasons of what they have done
tcu should email us on the reasons of what they have done
kma na kazi wanakutafutia wao ukimalza chuo fresh! ila kma hawakutafutiii uamuzi wa kwakoo!!!
Wizara ya elimu iko katika kipindi kigumu cha mapito, hivi huyo Prof Mchome wa TCU si ndiye alikuwa mwenyekiti ya Tune ya Pinda iliyopendekeza matokeo yafutwe? Au alikuwa busy na Tume ameshindwa kusimamia kwame. Ama kweli mwaka huu elimu chini ya uongozi wa Kawambwa na Mulugo inapita kwenye majaribu makubwa ni balaa kwa kila kituyaan ciwaelew coz chaguo langu la kwanza ni corse mbili kutoka ardh university hizo wameziaacha kama zilivyo, ila baabaa hayo machaguo mengine wameniwekea macorse ya ajaaabu duuh kwel mwaka huu we2 majangaaa yameaanza mapemaaaaa
Kabisaaa...huu uhuni