Kwa wasomi wa nchi na jamii forums kwa ujumla!

Kwa wasomi wa nchi na jamii forums kwa ujumla!

Babylon tower

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
60
Reaction score
11
Wasomi ebu nisaidieni kwanza jibu la hilo swali hapo chini ikibidi npe na sababu kwa nn unafkiri jbu lako kuwa ni sahihi,,,,,,,

She performed ___ the cultural programme that day.
(a) on
(b) at
(c) for
(d) by

Jawabu sahihi ni C kwa sababu a, b na d siyo sahihi.
 
Jibu langu mm ni D lakini na usahihishe perfom kwa sababu sentence zima ni past tense
hiyo grammer ifanyie masahihisho kwani correction ya Word Process katika computer unapobonyeza kitufe juu kabisa F7 hilo neno lako Programme linakataliwa kwa kuwekewa underline nyekundu kuwa sio sahihi kabisa mpaka uliongezee neno d
(programmed)
She performed for the cultural programme that day.

She performed at the cultural programme that day.

She performed by the cultural programme that day.

She perform on the cultural programmed that day.

Back
Top Bottom