Jibu langu mm ni D lakini na usahihishe perfom kwa sababu sentence zima ni past tense hiyo grammer ifanyie masahihisho kwani correction ya Word Process katika computer unapobonyeza kitufe juu kabisa F7 hilo neno lako Programme linakataliwa kwa kuwekewa underline nyekundu kuwa sio sahihi kabisa mpaka uliongezee neno d (programmed)
She performed for the cultural programme that day.