Bilashaka mkovemawa pendwa wote humu ndani. Naomba kuwasilisha hoja...... Ukweli ni kwamba vijana wengi wenye ndoto za mafanikio hasa kwa wale walioko mashuleni ambao uwaza mafanikoa yao yatakamilika baada ya kumaliza elim ya juu. Ni kweli kabisa kuwa wengi tunafikilia kuwa na elimu ya juu ndio chanzo cha mafanikio yetu. Lakini pia vijana wengi hupotea mwelekeo wao pindi tu wanapojiunga na elimu hii ya juu,polleni sana vijana wenzangu ambao mitazamo yenu ya kimaisha ilianza kufifia ukiwa chuo kikuu!Lakini pia niwakumbushe wale wote wanao tarajia kujiunga na chuo kikuu si mdamrefu kutoka sasa kuwamakini ili kuweza kutimiza malengo ya kuelimika kwenu. Inafahamika wazi kuwa kwa miaka ya sasa wengi wetu tunaojiunaga na elimu hii ya juu ni kutoka ktk familia za chini yaan ni daraja la tatu. Chonde chonde ndugu zangu vyuonikuna vishawishi vingi sana na pia vypote vina epukika kwa urahisi kabisa,mkafanye kilicho wapeleka ili mzifurahishe zaid familia zenu!Chakutambua ni kwamba kama utaingia na mawazo ya mafanikio basi M/Mungu atakujaalia tu utafanikiwa lkn kama utaingia na mitazamo ya kulamaisha bila kujali hatima yako baaaaaasi tambua utapoteza thamani ya miaka yako mi3 ya uwanachuo!.............