Kwa wasukuma, mitale na midimu ina maana gani?

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
879
Ninge penda kujua hili neno mitale na midimu, lina maana gani? kwa wasukuma. nalisikia sikia tu lakini sijui maana yake, pia kwa wa swahili mnao lijua maana yake, naomba kuwasilisha.
 
MITALE "MAKUBWA", MIDIMU "MAGUMU"
Lakini ungetoa sentesi yote ili tafasiri iwe bora.
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi MAKUBWA NA MAGUMU sijui kama niko sahihi wasukuma njooni huku kwa ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom