Kwa wataalam wa AFYA!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Heshima mbele wadau!
Naomba msaada ndugu zangu, Kuna mdogo wangu ana stashahada ya uuguzi(Diploma in nursing) anataka kusomea degree ya medicine(MD),Na matokeo yake F4 ni mazuri pamoja na principal pass mbili za PCB F6 ya 2009.Je anaweza kupata chuo hapa nchini?Wenye ufaham plz.
 
guide book ya TCU inasema requirement is form six au diploma in clinical medicine sasa hiyo ya nursing kwenda MD nahc haiwezekani.
 
Mbona vyuo vingine vinasema diploma in clinical studies?Maana ya clinical studies ni nini mkuu?au ndio hiyo hiyo clinical medicine? Nilielewa clinical studies ina iclude diploma yeyote inayo masuala ya afya.Angalia UDOM,KAIRUKI na KIU?Nashindwa kuelewa maana elimu yangu ni ya biashara yu mkuu.
 
Diploma in clinical studies kwa kiswahili ni diploma ya utabibu zinatolewa na COTC= clinical officers training Centres Kama Tumbo, sengerema, machame, masasi, mafinga nk
 
Asante mkuu!
 
inaweze kana ila kuna kazi kidogo .....(sabab iz zot n relted field) ni wewe 2 na dola yako ........
 
guide book ya TCU inasema requirement is form six au diploma in clinical medicine sasa hiyo ya nursing kwenda MD nahc haiwezekani.
Usiwe Unakurupuka kujibu kama huna uhakika.....diploma ya nursing anaruhusiwa Kusoma MD
 
labda akasome clinical medicine first ndo apande mpaka degree ila tofauti na hapo haiwzekan labda chuo kiwe cha Baba ako.
 
Usiwe Unakurupuka kujibu kama huna uhakika.....diploma ya nursing anaruhusiwa Kusoma MD

Mkuu naomba utupe uhahikika make naona kila mtu ana yake! Ukisoma vizur ile guiding ya TCU ni kama inarusiwa vile, mfano tumejaribu kucheki KAIRUKI wanasema angalao mtu awe na diploma ya clinical med,nursing,dentistry,orthopedic, physiotherapy etc.
 
inawezekana kabisa....100/=
 
Mkuu naomba utupe uhahikika make naona kila mtu ana yake! Ukisoma vizur ile guiding ya TCU ni kama inarusiwa vile, mfano tumejaribu kucheki KAIRUKI wanasema angalao mtu awe na diploma ya clinical med,nursing,dentistry,orthopedic, physiotherapy etc.

Yes mkuu hiyo inawezekana kabisa....labda kunaweza kutokea Competition according to GPA...
Ila anajiunga saaafi,anapiga MD yake Saaaafi.
 
Watu walikuwa na Diploma ya Radiology na wakaenda kusomea Medicine,sembuse Nursing...
Na bado wapo wengi weny Diplom ya Nursing wanaosomea MD.
Vyuo vipo KCMC,BUGANDO,MUHAS,UDOM na vingine vingi.
 
Shukrani mdau! Umetufumbua macho hapa make huyu dogo ailienda kuchukua dip ya nursing baada ya kubaniwa clinical officer serikalini japo haikua nia yake kusomea nursing na alishaanza kufikiria kwenda kusomea ualimu wa nursing.Bas ngoja tuchakarike na nacte mkuu
 
Kwa vyuo kama H.KAIRUKI na KIU inawezekana mkuu jaribu ispokua vya serikali vinababa sana.
 
Ngumusanaaa aseee labdaa kwavyuoo vyenye pesambeleee kahirukii etc
 
Hata H Kairuki wameandika requirements ni form6 PCB au diploma in clinical medicine xo diploma in nursing kusoma medicine ni ndoto labda akasome degree ya nursing.
 
Sawaaaa babaaa kamaa anataka soma MD kwaninii asisome CM iyoo physics E ndoninii BRN bhanaaa
 
Vyuo karibu vyote inawezekana.tunasema hivi coz tuna uhakika na tuna ushaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…