Sawaaaa babaaa kamaa anataka soma MD kwaninii asisome CM iyoo physics E ndoninii BRN bhanaaa
Hata H Kairuki wameandika requirements ni form6 PCB au diploma in clinical medicine xo diploma in nursing kusoma medicine ni ndoto labda akasome degree ya nursing.
Asome CM..!! Sasa atakuwa anafanyaje!!! Ulimwengu utamshangaa..Kwa kuwa ana diploma kinachotakiwa aTAKE step high,na MD ndo chaguo lake....
Vyuo karibu vyote inawezekana.tunasema hivi coz tuna uhakika na tuna ushaidi....