Kwa wataalam wa hesabu au kufumbua mafumbo

Kwa wataalam wa hesabu au kufumbua mafumbo

Juma kaka

New Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
3
Reaction score
0
"uhai wangu uligana na umbo langu na uhai wangu wenyewe utegemea umbo la mtu mwingine"
 
kila mchukuzi huusifu mzigowe. msemo huu hulandana na mwingine upi?
 
Hii itakuwa ni dizaini flani hivi ya ugonjwa.
 
''uhai wangu ulingana na umbo wangu na huo uhai wangu hutegemea uhai wa mtu mwingine''
 
"uhai wangu unalingana na umbo langu na huo uhai wangu unategemea uhai wa mtu mwingine"
 
Back
Top Bottom