mkumbatie Member Joined Aug 14, 2014 Posts 75 Reaction score 8 Sep 14, 2014 #1 Mimi nina dishi kubwa la free channel tatizo la dishi langu ni wakati wa mvua channel hazioneshi nini tatizo na nifanyaje ili kuepukana na tatizo hilo plz naomba msaaada.
Mimi nina dishi kubwa la free channel tatizo la dishi langu ni wakati wa mvua channel hazioneshi nini tatizo na nifanyaje ili kuepukana na tatizo hilo plz naomba msaaada.