kwa wataalam wa logistics, transportation issues and freight experts.. ushauri wenu tafadhali!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
hellow ladies and gentlemen,

kwa kipindi hiki mimi bado niko shule naelekea kumaliza masomo. lakini baada ya hapa nina mpango wa kuanzisha kampuni ambayo itakayokuja kuhusika na mizigo, yaani iwe inajishughulisha na shughuli zile za jumla kama upakiaji na upakuaji wa mizigo bandarini. (loading and offloading of freight)

je, katika masuala kama mtaji, usajili wa kampuni, uendeshaji wake, uongozi wake wa hapa na pale, changamoto mbalimbali ambazo zinakumba sector kama hii pamoja na mambo mengine mengi.


naombeni miongozo yenu wadau katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…