Kwa Wataalam wa Sheria: Affidavit ni nini?

Disclaimer:Mimi siyo mwanasheria, ila ninavyoijua Affidavit ni cheti/Hati ya muda inayotolewa na mahakama kwa ajili ya kuthibitisha uraia wa mtu, hutumika badala ya cheti cha kuzaliwa
Duuu! Very narrow definition (sio)
 
Disclaimer:Mimi siyo mwanasheria, ila ninavyoijua Affidavit ni cheti/Hati ya muda inayotolewa na mahakama kwa ajili ya kuthibitisha uraia wa mtu, hutumika badala ya cheti cha kuzaliwa
Cheti cha kuzaliwa si uthibitisho wa uraia bali ni uthibitisho wa mahali ulipozaliwa tu

Kithibitisho cha Uraia ni hati ya kusafiria(Passport) au kitambulisho cha Uraia cha nchi husika
 
Ok,,,ahsante sana mkuu kwa ufafanuz mzuri. Kwaiyo na kama hata sasa yupo kazn anaweza kupeleka tuu iyo DEED POLL alafu uongozi wa kampuni wakabalisha kwny system zao na kusomeka ** Jackob Lucas***?????
 
Huyo atumie DEED POLL ambayo itaandaliwa na mwanasheria na kuwa_attested na kamishina wa viapo halafu ataipeleka kwa msajili wa hati wa kanda anapoishi (kuna ada ya usajili <80,000/=) na baada ya hapo msajili atapeleka hati hiyo ikatangazwe kwny gazete la serikali (GN.....) ambayo hutoka kila baada ya miezi mitatu.

NB, kuna tofauti ya mwanasheria na wakili/kamishina wa viapo.

MWANASHERIA = Any person with the 1st degree in Laws (Latin Legum Baccalaurus = LL.B)

WAKILI = A person holds LL.B and has passed Legal practise (interniship) and has been registered in the rolls of advocates.

Kamishina wa viapo (NOT a definiton) hujumuisha
Wakili
Mahakimu
State attorney (wanasheria wa serikali) etc
 
Ok,,,ahsante sana mkuu kwa ufafanuz mzuri. Kwaiyo na kama hata sasa yupo kazn anaweza kupeleka tuu iyo DEED POLL alafu uongozi wa kampuni wakabalisha kwny system zao na kusomeka ** Jackob Lucas***?????
exactly
 
Ni cheti cha hati ya kiapo jui ya jambo au shughuli flani na nilazima mwenyewe mamlaka ya kuapisha ndio aapishe
 
Kwaiyo baada ya kuandaliwa na wakili anaweza kuipeleka kwa Hakimu hata wa Mahakama ya mwanzo km msajili wa viapo???
 
Kama unataka kubadili jina unatakiwa kuandaliwa Deed Poll isainiwe na Wakili kisha unakwenda kuisajili kwa Msajili wa Hati Wizara ya Ardhi.
Kwa nini ardhi na siyo vizazi na vifo? Wizara imehusishwa hapo kwa mahusiano gani
 
Hizi dini zinatutesa kweli
 
Mkuu hii affidavit inakua na limited time ya kuitumia au ukishakua nayo shughuli imeisha.
Na hii document unaipata wapi
 
Ok,,,,,kwaiyo akitaka kuomba kazi atatumia cheti cha shule chenye jina la Juma Lucas. Ila barua ya maombi ataandika kwa jina la Jackob Lucas na kuambatanisha na iyo DEED POLL sio???????
Je deed poll haiwezi kuwa njia ya kuonekana vyeti vyako vyote vya academic kuwa ni batili na venyewe vinatakiwa kubadilishwa jina?
 
Huu msamiati niliusikia sana kwenye kesi ya akina Raila vs Ruto & Chebukati and Tume, ikabidi nigugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…