goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Naomba wawahi maana muda unaenda mbio sana.Tulia hivyo hivyo mzee wanakuja
kama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya InverterJe, nahitaji kuuwa na inveta kuviendesha hivo vifaa?
weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,Na kwa matumizi ya kuwasha tu tv na taa ambazo hazizidi 3 nahitaji wati ngapi za solar na betri ni ngapi.
Kuhusu tv nimepiga picha nyuma ya tv I think ndo specification 👇kama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya Inverter
weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,
Kuhusu tv nimepiga picha nyuma ya tv I think ndo specification 👇
Kuhusu bufa kuna mtu anaitumia ila ni hizi za aboda size ya kati
(NB, hapo chini nilimaanisha betri ya 'N' ngapi)
Kwa kuwa umesema unataka kununua solar "ya kawaida" naelewa unaongelea bajeti, lakini kwa matumizi ya solar ondoa mbali kabisa matumizi ya hiyo sub woofer (sio bufa) tumia hizi HiFi ndogo kabisa kawa sababu sub woofer inatumia current kubwa itakua inamaliza betri katika muda wa saa moja tuKuhusu tv nimepiga picha nyuma ya tv I think ndo specification [emoji116]
Kuhusu bufa kuna mtu anaitumia ila ni hizi za aboda size ya kati
(NB, hapo chini nilimaanisha betri ya 'N' ngapi)
Specification za Sub Wooferkama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya Inverter
weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,
Msaada wako tafadhari nimekuwekea specs hapo juukama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya Inverter
weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,
Hapo mkuu unamaanisha haijarishi ni njia ipi inatumika kati ya DC au AC siyo? Maana yake hata ktk DC cosumption ya umeme itakuwani ile ile kama ya Ac?sub woofer inatumia current kubwa itakua inamaliza betri katika muda wa saa moja tu
Hio bila shaka ni aboda 3119bt ama bhSpecification za Sub Woofer
Output power 15W+ 8W×2
Impendance 4ohm +4ohm×2
Separarion >=45 dB
DC 12V
Za TV
Power input: AC100-240V~,50/60HZ
DC12V (-)......(•......(+), 2.6A-4A
So wewe unavojua n100 ni watts 100 sio? Ndo mana hesabu zako haziendi vizuriKwa kuwa umesema unataka kununua solar "ya kawaida" naelewa unaongelea bajeti, lakini kwa matumizi ya solar ondoa mbali kabisa matumizi ya hiyo sub woofer (sio bufa) tumia hizi HiFi ndogo kabisa kawa sababu sub woofer inatumia current kubwa itakua inamaliza betri katika muda wa saa moja tu
Kama bajeti iko sawa nunua panel ya 150watts na betri 2 za 100watts (N100)
Kama bajeti ngumu nunua panel 70watts na betri 1 ya 100watts (N70)
NB: TV kama ni LCD set "power saving mode", sub woofer achana nayo kabisa. Huhitaji inverter unahitaji tu DC cables na labda USB DC charger kwa ajili ya kuchaji simu
All the best