Unanikumbusha enzi za kilo moja ya pamba na ya mchanga ipi nzitomkuu si unit ya mwendo kasi ni km/h au mph kwa maana ukiandika 80km/p maana yake ni kwamba itakukuchukua lisaa limoja kutembea kilomita 80. sasa hakuna umbali wa gari kubwa au ndogo umbali uko ardhini . na hii imekaa ki theory lakini practicaly ni ngumu ule mshale ukawa uko kwenye 80km/h lisaa lizima ili kupima, kwamba utakuwa unashuka na kupanda kwa sababu mbalimbali hapo sasa kuna kitu kingine kinakuja kinaitwa velocity ....nimekumbuka tu vihesabu vya form two
Scania lazima ifike haraka ndio..Kiuhalisia zatakiwa ziwe sawa.kwa nini sasa wengine wanapinga kuwa scania itafika haraka?
Hata wewe mwenye gari ndogo ukiwa mbele tayari na unatembea speed ya 80 na mwenye scania yupo nyuma anatembea speed ya 80 pia nae hawezi kukupita mana wote mnatembea speed sawa, ili akupite anapaswa atembee speed kubwa zaidi kuliko wewe, and the vise-versa is true!Scania lazima ifike haraka ndio..
Ukitaka kujua hilo kaa ubavuni au kama gari kubwa ipo mbele yako ipo na speed 80 ww unakuja nyuma ukitembea na ww speed 80 kamwe huwezi kuipita ni lazima ww ukamue kweli kweli ikiwezekana mpaka 100 naa ndio utafanikiwa kuipita..mfano rahisi mshike mkono mtoto mdogo harafu uwe unatembea naye kawaida wewe utakuwa unapiga hatua za kawaida lkn yeye lazima achanganyie sana ikiwezekana na kukimbia pia.ndio atakwenda sawa na ww.