Kwa wataalamu wa biashara ya kuwekeza mwenye udongo wa dhahabu mtaji kiasi gani unahitajika

bill Shnky

Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
65
Reaction score
37
Habar za cku ya Leo ,
Kama nilivoeleza apo kuwa nahitaji kufungua mwalo ya kuzalisha udongo wa dhahabu unaotokana na mawe ya dhahabu yaliyo sagwa na kuoshwa ili baadae niweze kuuza huo udongo kwa bei nzur
Je naweza anza kwa Hera kiasi gani ili kukamiliza zoez la kuanza kuzalisha huo udongo pia naomba ushauri ni kipi nifanye ili nifanikiwe zaid kwenye hii biashara
Naomba mawazo yenu kwa walio na experience ya uzalishaji huu.
 
Sawa moja upate eneo la hiyo sehemu
2 uhakikishe lipo karibu na machimbo hayo
3 uwe na zile mashine za kusagia hayo mawe
Hiyo mtaji kiasi cha chini ni kama 13milion
 
CC mrangi
 
1 upo wapi?
2 ulishafanya biashara yoyote ya dhahabu?
3 umeandaa mtaj makadirio ya sh ngapi
 
1 upo wapi?
2 ulishafanya biashara yoyote ya dhahabu?
3 umeandaa mtaj makadirio ya sh ngapi
 
1 upo wapi?
2 ulishafanya biashara yoyote ya dhahabu?
3 umeandaa mtaj makadirio ya sh ngapi
 
Sawa moja upate eneo la hiyo sehemu
2 uhakikishe lipo karibu na machimbo hayo
3 uwe na zile mashine za kusagia hayo mawe
Hiyo mtaji kiasi cha chini ni kama 13milion
Nilianza na m8
 
Nunua crusher, weka sehemu yenye majimbo, tengeneza makalo kwa ajili ya kuoshea, zingatia grade ktk eneo la hayo machimbo, yapo mambo mengi kiasi kwamba naona uvuvi kuandika, mtaji kuanzia 11m,kama unamtaji zaidi kuwa na plant kwa ajili ya VAT leaching ndo kiboko ya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…