digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Who is the subject in your story?
Hapo jibu ni "are" kwasababu ya kiunganishi "and" kikichopo kati ya maneno; the king na his wives, kama utabadilisha hicho kiunganishi kikawa "with" hapo inawezekana badala ya "are" ikawa "is", kwasababu subject hapo anakuwa ni the king na hao wakeze ambao wanakuwa ni "wapambe tu" kama ingekuwa kofia ya mfalme au koti lake nk.
That's my take.
Wakuu hamjambo,msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili,kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo,hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu sahihi
THE KING AND HIS WIVES__________________HERE
(ARE/IS. ( )
Toa sababu kwa hoja/ chaguo lako yaani kwanini jibu ni is/are?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaongelea King na mke wake kwamba wako hapa kwa hiyo are itatumikaWakuu hamjambo,msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili,kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo,hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu sahihi
THE KING AND HIS WIVES__________________HERE
(ARE/IS. ( )
Toa sababu kwa hoja/ chaguo lako yaani kwanini jibu ni is/are?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mfalme bila shaka alikuwa ni Muisilamu. Ametekeleza sunna.[emoji1787]