Kwa wataalamu wa magari husika hapa

Kwa wataalamu wa magari husika hapa

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
410
Wanajukwaa nahitaji kununua gari ila nimekua njia panda naomba kujua kati ya hizi gari mbili faida na hasara au ipi bora na imara kuliko nyingine ili nifanye maamuzi 1.

Rav 4 new model au maarufu kama kili time 2 na harrier. Ipi bora na imara na suala la spear parts na matumizi ya mafuta binafsi sina safari za mbali njia nazotumia ni za mjini humuhumu ushauri tafadhari,
 
Rav 4 Kill Time ni nzuri kikubwa kuwa sensitiv kwenye service tuuu
 
Back
Top Bottom