Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oppo nyingi hazipo compatible na twitterKuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
Ina kata? Nyingine zina wilaya.Kuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
Twitter ina support only android 8+Kama ni kuanzia android 7 kushuka chini kimeo chake ndio hicho sasa basi cha kufanya ingia google download Apk za hizo app zinazogoma udownloa zile Apk za zamani kulingana na android ya simu YAKO search KWA kuandika hivi jamii forum Apk for android 6 kama simu YAKO ni android 6 hapo watakuletea hiyo Apk udownload kisha mambo yanakuwa safi.
Bwana YESU asifiwe