Kwa watakaohitaji kurudia mtihani wa CSEE mkoni Moshi/ Kilimanjaro

Thomas andrew

Senior Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
150
Reaction score
44
Kama unaihataji murudia mtihani wako wa CSEE kwa mkoan Kilimanjaro kituo kilichobora kabisa kwa hudma zte muhmu kwa mwanafunzi ni ZACHARIA CENTER, kilichopo majengo karibu na kanisa la KKKT.

Mawasiliano zaidi 0786724840 o like zic page Fb. Zacharia High School
 
kwanini hamna huruma na hela za wenzenu. kituo kinaitwa ZAKARIA na matokeo yake ni haya-[h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 8 DIV-IV = 119 DIV-0 = 32[/h]inaonyesha mnakula hela za watu na hamna mnachofanya:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Kila bwawa halikosi mamba na kenge!!! N ungeuliza hao walioapta 4 wengi walikuwa nanatafuta crdt ngapi na wmefnya masomo mangapi''''' ucngesema ulichokiwaza
 
Kwenye Jiografia na Kiswahili tayari umeshawafelisha kwa mara nyingine hata kabla hawajajiunga.Be serious.
 
yaani kwa huu uandishi wako kama na wewe ni mwalimu hapo usitarajie kupata mwanafunzi
 
kwanza umeshanipoteza kabisa mkoa wa moshi uko wap...???
 
Mkoa wa moshi unapatikana sehemu gani ya tanzania mkuu?nawapa pole sana hao wanafunzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…