Kwa watalaam wa Lens za camera

Kwa watalaam wa Lens za camera

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau habari

Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
 
Ni lensi kali tu,

Sema na wewe hujasema unataka tip gani..

Uzito?
Quality ya picha au nini?
 
Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive.

Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu
 
Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive.

Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu
Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan
 
Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri
Aparture ngapi
Shutter speed ngap
ISO ngapi
Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ?
 
Back
Top Bottom