luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Quality ya picture kwa hii lenz naona kama ni very lowNi lensi kali tu,
Sema na wewe hujasema unataka tip gani..
Uzito?
Quality ya picha au nini?
Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuriNi lensi kali tu,
Sema na wewe hujasema unataka tip gani..
Uzito?
Quality ya picha au nini?
Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens ganNi lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive.
Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu
Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za SigmaUlivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan
Okay,Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za Sigma
Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ?Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri
Aparture ngapi
Shutter speed ngap
ISO ngapi
πππ.Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ?