Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Asilimia kubwa ya watanzaia wanaona kula fast food ndio unakula chakula bora, na wanakuchukulia wewe kama doni wa mtaa. Chakula chako kikihusisha mboga kama bamia, dagaa na mboga nyingine za majani wewe unaonekana kapuku usiyekula vitu wa vya maana!
Mtu anakula chakula bora chenye virutubisho kama dawa akishauriwa na daktari wakati anaumwa, akishapona ni mwendo mdundo.
Kwako mdau chakula bora ni kipi?
Mtu anakula chakula bora chenye virutubisho kama dawa akishauriwa na daktari wakati anaumwa, akishapona ni mwendo mdundo.
Kwako mdau chakula bora ni kipi?