Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Bongo mtu akisikia michezo kinachokuja akilini ni football [emoji460]️ tu.
Hata kelele nyingi na uwekezaji uko kwenye football.
Na huko ni full mambo ya usimba na uyanga tu.
Jamani dunia imefunguka.
Michezo ni mingi sana saivi.
Kuna ndondi aka nakozi na Taekwondo mieleka [emoji2247] [emoji1625] Sarakasi[emoji1732] michezo ya baiskeli[emoji2187] kurusha tufe kisahani [emoji3478] [emoji3041]
kubeba vitu vizito[emoji963]michezo ya majini [emoji2112] [emoji571] [emoji475]
Golfu[emoji2503]kupanda miinuko[emoji3254]michezo ya wanyama[emoji470] Basketball [emoji459] baseball [emoji461] [emoji2261] handball [emoji461]️ walemav [emoji68]🦽
Michezo ya baiskeli [emoji467] basketball [emoji3571] michezo ya kuteleza [emoji473][emoji3555]
kukimbia mbio fupi na ndefu [emoji2089] kuruka juu na chini michezo ya mezani [emoji463] kulenga shabaha [emoji457] [emoji465] tenisi[emoji3039] vinyoya [emoji972] kriketi [emoji968]nk nk
Jamani michezo ipo mingi mingi sana sio football tu.
Tupeleke macho, talanta zetu na uwekezaji kwenye michezo hii mingine maana sio kila mtu anajua kucheza football.
Halafu uzuri jamii zetu nyingi tayari zina hii michezo kwa mfano ndugu zetu wamasai wao kiasili ni walenga shabaha sio ajabu wangeweza kutuletea medali kibao tu kama wangepelekewa hiyo michezo ya kulenga shabaha.