Kwa wateja wa highlife Zantel

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
Kwa wateja wa highlife, kwanini siku hizi sifanikiwi kuunganishwa na huduma hiyo ya internet, kila nnapojiunga naambiwa line yangu ya simu haijatumia shilingi 5,000. Customer care wananiambia system zao ziko slow kunitambua (ndio basi?). Najiuliza sijui kwa wateja wengine hali ikoje ni wiki ya tatu sasa?
 
ndio unagundua leo ? huo uhuni ulituhamisha zantel tangu mwaka jana. mimi nilitupa kabisa modem yao.
Airtel nao walitu bipu hivi karibuni. tukijiandaa kuwapigia wakapata akili ghafla.
 
wadada wa customer wa care utawasikia system haija kusoma unafahamu...unafaham, tumeshafamiana eee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…