Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
hahahah msukuma kwakula tena??? hehehehViazi uvikute kwenye pilau hivyo,kwa nyama, pilau lipate mjuzi wa kupika.
Utajilamba mpaka vidole.
Msukuma msemekilakitu lakini kula muachie.hahahah msukuma kwakula tena??? heheheh
na ukitaka kushinda njaa kubali kula kwenye sinia moja na msukuma!UTAJUTA!wanakula had wanasweatMsukuma msemekilakitu lakini kula muachie.
Halafu umkute Msukumakatembea mpaka Kinyasini umkaribishe pilau (wenyewe tunaita "muchele")
Hatareeee!
Sisikwetunchi ya neema,chakula sikitu cha adimu.na ukitaka kushinda njaa kubali kula kwenye sinia moja na msukuma!UTAJUTA!wanakula had wanasweat
Sisikwetunchi ya neema,chakula sikitu cha adimu.
Hata kiasiliukiwa unapita njia tu, imefikajioni, hujafikaunakoenda, umefikakwa Msukuma, lazima akupikie,ukiondoka bila kula ni kama umemtukana.
Nikirudilikizohuko najiandaakulakilanyumba, hata kamaumekula unaambiwa ule tena.
Pwani tunavukaanga mpaka view na rangi ya hudhurungi kabla ya kuvitia kwenye pilauViazi uvikute kwenye pilau hivyo,kwa nyama, pilau lipate mjuzi wa kupika.
Utajilamba mpaka vidole.
Mashallah, mate yananitoka hapa. Tena ndomuda wa lunch huu na mie njaa hii na huku ntalipata wapi pilau jamani.Pwani tunavukaanga mpaka view na rangi ya hudhurungi kabla ya kuvitia kwenye pilau