Kama ni kukodisha naweza kukuunganisha na mtu. Yeye huwa anaagiza kutoka Bangladesh. Tz sifahamu ila kunajamaa aliwahi niambia hiyo kampuni lumber pro hd36 ina tawi maeneo ya buguruni ila sikufatilia sana.MKUU HILO TELA LINAPATIKANA WAPI KWA HAPA TZ, NALIHITAJI MKUU
Kama ni kukodisha naweza kukuunganisha na mtu. Yeye huwa anaagiza kutoka Bangladesh. Tz sifahamu ila kunajamaa aliwahi niambia hiyo kampuni lumber pro hd36 ina tawi maeneo ya buguruni ila sikufatilia sana.
Aina ya mti ni msaji. Urefu zinachezea futi 8,7 kurudi chini pia sio pana sana nyingi ni nchi 5 kama zinavyoonekana kwenye picha