Kwa wateule walioitwa kazini serikalini

Joined
May 24, 2012
Posts
84
Reaction score
33
kwanza niwapongeze wote mliopata nafasi ya kufunga ndoa na serikali. hongereni sana pia nendeni mkalitumikie vyema taifa letu na watu wake.

ombi langu ni kuwa hebu tengeni dakika chache tu mrudi humu jamvini na kuwapa somo wale waliobaki huku wakiwa magalagaja wa nafasi za kazi. wapeni mbinu na siri ya mafanikio yenu hadi hapo mlipofikia ukizingatia wengi hatujui jinsi ya kuandaa barua nzuri ya kuomba kazi, intavyu zote mbili na pia mwonekano chanya katika mambo yote yanayohusiana na mchakato mzima wa kutafuta ajira serikalini.

kiongozi nzuri husimamia vitendo sio maneno
 
You are right man, watupe siri ya mafanikio ili sote tujipange kwa future opportunities, wasitubanie bana mana kuna watu wana roho za kwanini sana. By the way best wishes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…