Kwa watu wa equivalent

Kwa watu wa equivalent

Marco Makamba

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
59
Reaction score
11
Nini hawa jamaa wa Nacte wanakifanya
•mf.mzumbe capacity illikua inaxoma 50 mpaka majira ya asubuhi but now ni 70 na Cbe walio omba kama chaguo Lao la kwanza walikua 107 tokea maombi yamecitshwa but jana aliongezeka wa 108 Na sasa ni 111Je? nni kinaendelea wana jf ikiwa process nzima ilixha fungwa.
NOTE nazungumzia walio omba procurement Na nyie wa course nyingine hakuna kitu Kama hicho.
 
du m nlichoona kwangu
udmsm waloomba ni ka 70 coz capact inasoma 1 sasa na mwanzo ilikua ikisoma 12 . muce 1 pia na duce 0 coz capacity wamenvuruga tuu nasubr vyuo vngne coz bado vinasomeka powa
 
Taharifa nilizopata kutoka chanzo kinachoaminika ni kuwa kesho joint admission board inakaa bagamoyo halafu kila kitu kitakuwa waz jumatatu..kwasababu kitu vyuo ambachovinafanya kurelease selection ni kinyume na sheria ndio maana umeona kwenye tangazo la tcu leo kuwa kuanzia j3 tarehe 29 ndio wanaruhusu maombi ya uhamisho wa vyuo na course mbalimbali kwahyo wanauhakika j3 ndio wanatoa majina ...chanzo hicho kimesositiza kuwa mtulie tcu ndoyenye haki kisheria kutoa selection hivo subirini final selection j3
 
Dah! Watanzania kwa porojo hatujambo. Yani mkuu unaijisikia raha gani kutunga hekaya zako za abunuwasi na kutulisha wanaJF wenzio? Ahya bhana.
 
Mkuu huyu muongo! nacte wenye wana update kuwa vyuo vitatoa majina. sasa na nacte na tcu ni ndugu moja hawa.
 
Mimi nilifikiri equivalent ya IC au transistor.....................
 
Taharifa nilizopata kutoka chanzo kinachoaminika ni kuwa kesho joint admission board inakaa bagamoyo halafu kila kitu kitakuwa waz jumatatu..kwasababu kitu vyuo ambachovinafanya kurelease selection ni kinyume na sheria ndio maana umeona kwenye tangazo la tcu leo kuwa kuanzia j3 tarehe 29 ndio wanaruhusu maombi ya uhamisho wa vyuo na course mbalimbali kwahyo wanauhakika j3 ndio wanatoa majina ...chanzo hicho kimesositiza kuwa mtulie tcu ndoyenye haki kisheria kutoa selection hivo subirini final selection j3

Tupe chanzo cha kuaminikaa.
 
Jamani,watanzania wenzangu nafikiri mnajua majukumu ya tcu,inawajibika katika kudahili na kutangaza waliodahiliwa,hivyo basi vyuo vyote havina mamlaka ya kutangaza majina ya wadahiliwa.Kumbuka hayo ni makosa na ni kuingilia majukumu ya tcu.pia kumbukeni tcu uwa haitoi vitu nusunusu kama mnavyoona yenyewe inatoa general result na ndio maana hata waliodahiliwa nacte watatangazwa na tcu yenye mamlaka.SO VIJANA ACHENI KUTAPATAPA TCU AWAJATANGAZA SUBIRINI KABLA YA JUMATATU ITAKUWA IMEREALESE.NAWATAKIA UVUMILIVU.
 
mim nashangaa nilitumiwa meseji na watu wa jordan kuwa nimedahiliwa kwao sijaelewa mpaka leo
 
Jamani,watanzania wenzangu nafikiri mnajua majukumu ya tcu,inawajibika katika kudahili na kutangaza waliodahiliwa,hivyo basi vyuo vyote havina mamlaka ya kutangaza majina ya wadahiliwa.Kumbuka hayo ni makosa na ni kuingilia majukumu ya tcu.pia kumbukeni tcu uwa haitoi vitu nusunusu kama mnavyoona yenyewe inatoa general result na ndio maana hata waliodahiliwa nacte watatangazwa na tcu yenye mamlaka.SO VIJANA ACHENI KUTAPATAPA TCU AWAJATANGAZA SUBIRINI KABLA YA JUMATATU ITAKUWA IMEREALESE.NAWATAKIA UVUMILIVU.

duh! sasa ya nacte yatatolewa na tcu vp wakati equivalent wengine wanaonekana kwenye vyuo vya sasa vilivyotoa majina.

unaka kuniambia majina ya ud ya sasa yanatofautiana na hayo yatakayotolewa na hao tcu? tcu wataongeza equivalent wengine vyuoni hata vile ambayo list zao wameshatoa?? NGUMU KUMEZA.
 
duh! Sasa ya nacte yatatolewa na tcu vp wakati equivalent wengine wanaonekana kwenye vyuo vya sasa vilivyotoa majina.

Unaka kuniambia majina ya ud ya sasa yanatofautiana na hayo yatakayotolewa na hao tcu? Tcu wataongeza equivalent wengine vyuoni hata vile ambayo list zao wameshatoa?? Ngumu kumeza.

ni kweli inaweza kuwa ngumu kumeza ila tusubiri tu.maana baadhi ya vyuo havijatoa.
 
dah we mbaba unanikumbusha mbali sana, kama transistor/ i.c/diode imekufa na huna ya kuireplace yan of the same value or code, unachek kwenye data sheet unaweka nyingine ni noma sana, electronics is only repairing so simple.
 
Jamani,watanzania wenzangu nafikiri mnajua majukumu ya tcu,inawajibika katika kudahili na kutangaza waliodahiliwa,hivyo basi vyuo vyote havina mamlaka ya kutangaza majina ya wadahiliwa.Kumbuka hayo ni makosa na ni kuingilia majukumu ya tcu.pia kumbukeni tcu uwa haitoi vitu nusunusu kama mnavyoona yenyewe inatoa general result na ndio maana hata waliodahiliwa nacte watatangazwa na tcu yenye mamlaka.SO VIJANA ACHENI KUTAPATAPA TCU AWAJATANGAZA SUBIRINI KABLA YA JUMATATU ITAKUWA IMEREALESE.NAWATAKIA UVUMILIVU.

Kwa hyo hvi vyuo kama udsm,ifm wenyewe wapo juu ya tcu...?yaan wanafanya kinyume na utaratibu alafu kama hakijaotokea kitu vile.....
 
ni kweli inaweza kuwa ngumu kumeza ila tusubiri tu.maana baadhi ya vyuo havijatoa.

haah haah hapo sasa umeeleweka kuwa equivalent ambao hatujapata tuwait vyuo ambavyo hawajato mf udom

ila utata unakuja hapa je kama hukuijaza udom ndio kusema watakupnga tu bila ridhaa yako muombaji?!
 
Back
Top Bottom